Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 47
Kipimo ni 3000 tu na pia unapata majibu after few minutes,wala usijaze server ya JF kwa kuweka thread mkuututaenda kupima manake hata yeye mwenyewe anaweza kujipima ila nilikuwa nataka kuhakiki kupitia mzunguko wa siku zake bro
hahahhah!! wewe nawe .kila kitu kimearhisihwa bro naona unataka kuniletea usanii wa maduka ya madawa hapa ..nishampima zamani sanaKipimo ni 3000 tu na pia unapata majibu after few minutes,wala usijaze server ya JF kwa kuweka thread mkuu
asante sister manake nilikuwa na wasiwasi nilijua nishategeneza kiobama kidogo tayari
nadhani tr 28 ya kila mwezi ...ila jana kaniambia atapata siku zake tarehe 28
duh! hili nalo nenoukia bort kabla ya miezi saba sio dhambi
amepima sasa hivi jioni tumekuta negative.asanteni sana kwa ushauri..idumu JF na member wake wabarikiwe wote..ila huyu binti nilivyomuona naona kama vile hajaridhika alikuwa anataka iwe positive kwa sababu hajaamini ikabidi tupima mara ya pili
mkuu kwenye hilo jedwali inamaan kapo kwenye k k k ni siku hatari nazo?
iwi DNA test ya nini ndugu yangu ..
pregnant test tu inatosha..
afrodenz ksema hivyo kwa sababu mtoto hata bado hajazaliwa jamaa anaongelea dnaInatosha kivipi? Kama mtoto sio wake je?