Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Kuna uwezekano wa mimi kutoshiriki upigaji kura kwenye huu uchaguzi Kwasababu watanzania tuliomba tume huru tukapewa jina la tume badala ya tume huru, hakuwezi kuwa na uchaguzi wa haki pasipo tume huru.
Mamlaka nyingi za nchi nimeziona zimekuwa kama machawa hawatambui pasipo tume huru hakuna haki na pasipo haki hakuna demokrasia, watanzania wataenda kujichimbia shimo kama watauwa demokrasia yao kwa kupiga kura bila tume huru, jina la tume haliwezi kuifanya tume iwe huru.