Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Kwani rMkuu,utajikoseha bure kapelo,ubwabwa-mandondo na kudensi kwa mtindo wa kugalagala mbele ya "wahishmiwa"!🤔
Kwani jina la tume kwa uelewa wako linaweza kuifanya tume iwe huru, mbona wao hawachukui majina ya mishahara badala ya mshaharaMkuu,utajikoseha bure kapelo,ubwabwa-mandondo na kudensi kwa mtindo wa kugalagala mbele ya "wahishmiwa"!🤔
Tatizo sio CCM, tutakapo kuwa na itikadi za kivyama tutaenda kuigawa nchi, vyama ni sehemu ndogo to ya nchi tunapaswa tuvitumie kusimamia maslahi ya nchi na sio maslahi ya chama hapa tutaigawa nchi kutakuwa na nchi ya ccm alafu nchi ya Tanzania.Acha CCM tuongoze nchi milele
Kuna uwezekano wa mimi kutoshiriki upigaji kura kwenye huu uchaguzi Kwasababu watanzania tuliomba tume huru tukapewa jina la tume badala ya tume huru, hakuwezi kuwa na uchaguzi wa haki pasipo tume huru.
Mamlaka nyingi za nchi nimeziona zimekuwa kama machawa hawatambui pasipo tume huru hakuna haki na pasipo haki hakuna demokrasia, watanzania wataenda kujichimbia shimo kama watauwa demokrasia yao kwa kupiga kura bila tume huru, jina la tume haliwezi kuifanya tume iwe huru,.
Tatizo sio CCM tatizo ni nani bora atakaye isaidia nchi elewa hoja zangu usiwe limit,Kupiga kura ni haki yako ya msingi kutokupiga ndio furaha kwa ccm maana wao wana watu wao ambao ni lazima wakapige kura kwa sababu baada ya kupiga kura kuna mtu yuko pembeni anakuona ukimaliza unaenda moja kwa moja na kuchukua chako pembeni unalipwa unasepa kwa hiyo kwa staili hii ni lazima waende.