Ndugu wadau naskia kuna vikao vinaendelea NBAA kuangalia uwezekano wa kutokwepo Module E mwezi May 2014..Hii ni ili kupisha wale wenye vimeo vyao wapate ku clear na kuwaanda watu na new syllabus kuanzia November 2014.
Kama kuna mdau ana taharifa za uhakika atujulishe kwa sababu hiyo new syllabus ni Majanga