Habari zenu wapendwa naombeni ushaur Nywele zangu zina Dawa ila natamani zirudi natural bila kunyoa, je kuna njia yoyote ya kuondoa Dawa kichwani naombeni mnishauri nizifanyaje maana najuta kuweka Dawa na mungu awabariki
zinaweza kua natural usiweke tena dawa kadri unavyozidi kuchana za dawa zinakatika zinaota natural mpaka baadae unakua na natural zote ila hazioti vzur sana the best way ni kunyoa na kuanza upya