Kuna Uwezekano wakuchaguliwa DIT nikwa na alama hizi.....!

EUNICE 2

Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
21
Reaction score
4
Wakuu nikiwa na alama hizi

Physics = B'
Chemistry = B'
Mathematics = C

naweza kuchaguliwa kujiunga na engeneering DIT
 
Wakuu nikiwa na alama hizi

Physics = B'
Chemistry = B'
Mathematics = C

naweza kuchaguliwa kujiunga na engeneering DIT
Bila shaka mkuu unachaguliwa mojakwamoja direct entry we nenda tu!
 
Kasome Civil Engineering
 
soma CIVIL Eng wanaweza hata kukuchagua MUST me nilichagua dit ila wamenichagua huku
 
hongera,unaonaje ukienda kusoma high level then chuo?

yaaa ngoja nisubirie post ndugu mana sina uhakika kabisa kama ntachaguliwa collage
na nisipo pelekwa huko basi ntaenda PCB mana nna Physics B' , Chemistry B' na Biology B+
 
yaaa ngoja nisubirie post ndugu mana sina uhakika kabisa kama ntachaguliwa collage
na nisipo pelekwa huko basi ntaenda PCB mana nna Physics B' , Chemistry B' na Biology B+

ok kila la heri, i hope you can be a doctor one day, keep it up PCB lazima usome sana lakini kama umeweza kujitahidi kiasi hicho, a level haitakusumbua then chuo govt.inawawezesha 100% hakuna stress wala husumbui wazazi
 
Habari wanajamvi,form za kujiunga na dit zimeshatoka?kama tayari naweza kuzipata vipi
 
Wakuu nikiwa na alama hizi

Physics = B'
Chemistry = B'
Mathematics = C

naweza kuchaguliwa kujiunga na engeneering DIT

Mbona umeshachelewa, hizo kozi ilibidi uchague ukiwa shule kipindi unajaza shule za kwenda Advance.
Othewise u-apply kama private Candidate.
 
. Nataka nikasome BIO MEDICAL ENGENEERING upande wa ajira imekaaje?
hicho ni chuo cha tekinolojia mbona unaulizia ajira?kimegeuzwa kuwa chuo cha kutoa watumishi badala ya wagunduzi,si ugundue tekinolojia ukiwa pale and become a scientist?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…