qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Mbona umeshachelewa, hizo kozi ilibidi uchague ukiwa shule kipindi unajaza shule za kwenda Advance.
Othewise u-apply kama private Candidate.
imekaa wima mkuu,kuikalisha si kazi ndogoTelecommunication imekaaje wakubwa
wewe ropoka tu siri za watu,wakiona haya maandishi sisi hatukulindi,HATARI SANA ETI CHUO CHA TEKINOLOJIA,NAONA WAKIITE CHUO KAWAIDA TU MANA HAKUNA TEKINOLOJIA YOYOTE KIMELETA KWENYE ULIMWENGU WA TEKINOLOJIAbiomedical ipo vzr sema tatizo ni kwamba dit haina facility nzuri ya kuwawezsha kusoma vizuri maana hiyo course bado ni mpya na walimu wake pia ni wachache ila ndio course ambayo ina uhitaji mkubwa sana katika swala la ajira
Wakuu nikiwa na alama hizi
Physics = B'
Chemistry = B'
Mathematics = C
naweza kuchaguliwa kujiunga na engeneering DIT
Telecommunication imekaaje wakubwa
DIT kma A-level ndugu ukija ukaze kwli kwli
Kama unataka gpa ya 4.9 nenda st joseph kama unataka elimu nenda DIT.
kila kitu kitakuwa sawa mkuu
ahsante kwa ushauli wako!