Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Tangia mgombea wa CHADEMA mheshimiwa Tundu Lissu aanze kampeni zake nimemsikia mara kwa mara akiwaahidi wananchi kuwa akishika madaraka atafuta vitambulisho vya machinga na akaenda mbali zaidi kwa kusema hii ni Kodi ya kichwa
Sasa Jana wakati akiendelea na kampeni zake Dodoma ameligusia tena jambo hili na kusema "mkiona mnalipa pesa ya kitambulisho cha machinga basi mjue mnamlipa Magufuli"
Video hii hapa chini wakati akiwa Dodoma