mwandiko wako tu unatosha kujua ufahamu wakoWakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani
Kuona isiwe shida ameamua kutengeneza mazingira Kama Yale ya ajari na kwa chivayo kuangusha ndege ile ya gharama ni suala dogo tu So amechagua kuwa huru ili sushi maisha mengine
Kuna baadhi ya vitu vya kujiuliza na ukapata jibu mwenyewe Tena bila kujibiwa na mtu mfano viatu vyake vimepatikana na mkoba wa bibie hapa vuta picha helkopta iwake Moto alafu kiatu kisiungue????
Kuna vingi vya kujiuliza Ila jamaa ameamua kuishi maisha ya Uhuru zaidi somewhere anywhere
Ok thanksmwandiko wako tu unatosha kujua ufahamu wako
Sawa mkuuNi nadharia yako kuhusu kifo cha chivayo! Udhaifu wa hoja yako ni kwamba umejikita zaidi katika umbeya na siyo fact za kisayansi, kama vipimo vya utambuzi.
NB. Kujadili hoja yako ni sawa na kuujadili umbeya.
Na aina ya watu kama ninyi mmejaa sana huko makazini, kwenye vikao mhimu mnakalia kujadili umbeya kuliko mambo ya uendeshaji na uzalishaji.
Ajifiche kwa Wamarekani?Labda siyo hawa Waamerika,kuna wengine!Wakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani
Kuona isiwe shida ameamua kutengeneza mazingira Kama Yale ya ajari na kwa chivayo kuangusha ndege ile ya gharama ni suala dogo tu So amechagua kuwa huru ili sushi maisha mengine
Kuna baadhi ya vitu vya kujiuliza na ukapata jibu mwenyewe Tena bila kujibiwa na mtu mfano viatu vyake vimepatikana na mkoba wa bibie hapa vuta picha helkopta iwake Moto alafu kiatu kisiungue????
Kuna vingi vya kujiuliza Ila jamaa ameamua kuishi maisha ya Uhuru zaidi somewhere anywhere
huyu alifanya JF ikafungiwa kwa picha zake , KAFAAAAWakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani
Kuona isiwe shida ameamua kutengeneza mazingira Kama Yale ya ajari na kwa chivayo kuangusha ndege ile ya gharama ni suala dogo tu So amechagua kuwa huru ili sushi maisha mengine
Kuna baadhi ya vitu vya kujiuliza na ukapata jibu mwenyewe Tena bila kujibiwa na mtu mfano viatu vyake vimepatikana na mkoba wa bibie hapa vuta picha helkopta iwake Moto alafu kiatu kisiungue????
Kuna vingi vya kujiuliza Ila jamaa ameamua kuishi maisha ya Uhuru zaidi somewhere anywhere
Hilo tukio linafikirisha sana aisee.Wakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani