900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Wakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani
Kuona isiwe shida ameamua kutengeneza mazingira Kama Yale ya ajari na kwa chivayo kuangusha ndege ile ya gharama ni suala dogo tu So amechagua kuwa huru ili sushi maisha mengine
Kuna baadhi ya vitu vya kujiuliza na ukapata jibu mwenyewe Tena bila kujibiwa na mtu mfano viatu vyake vimepatikana na mkoba wa bibie hapa vuta picha helkopta iwake Moto alafu kiatu kisiungue????
Kuna vingi vya kujiuliza Ila jamaa ameamua kuishi maisha ya Uhuru zaidi somewhere anywhere
Au kuna watu kawapiga nini na kaamua kucheza scenerio bab kubwaaa 🙃🙃🙂🙂Wakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani
Kuona isiwe shida ameamua kutengeneza mazingira Kama Yale ya ajari na kwa chivayo kuangusha ndege ile ya gharama ni suala dogo tu So amechagua kuwa huru ili sushi maisha mengine
Kuna baadhi ya vitu vya kujiuliza na ukapata jibu mwenyewe Tena bila kujibiwa na mtu mfano viatu vyake vimepatikana na mkoba wa bibie hapa vuta picha helkopta iwake Moto alafu kiatu kisiungue????
Kuna vingi vya kujiuliza Ila jamaa ameamua kuishi maisha ya Uhuru zaidi somewhere anywhere
Babu umesahau alama za vidole na dna,, nadhani hizi ni fikra za wapendwa wake katika hali ya kukataa ukweli kuwa jamaa ameondoka, halafu kwa lipi kwamba marekani wakimuhitaji mpk afikie kujitengenezea kifo, yani ana kipi hafikii hata robo ya Osama .....ambae mwishoni walimdaka na kumuua km mende,,Kama ametumia mbinu hiyo, aambiwe soon watamdaka wakimhitaji
Labda akafanyiwe surgery na kuwekewa puto kama la Peter msechu ama akatwe utumbo kama Wema ili apungue
Otherwise atadakwa karibuni kama Osama tu
AI movie scenerio...nothing impossible!Hayo ni mawazo yako tu!
Unataka kutwambia kuwa ndege ilijiendesha bila ruban?, kama kulikuwa na ruban, je alikufa kwa kujitoa mhanga kama kwel ni ajari ya kutengeneza?
Inamaana wale wataalam waliofika pale kutwaa masalia ya miili wametudanganya kuwa masalia yalikuwepo, (kama hakukuwa na masalia ya miili, nin kiliwekwa katka ile mifuko)?
Mtu maaruf kama yule anaweza kuish wap asijulikane, kama kaamua kutafta maisha privet kupitia ajar ya uongo!?
Conclusion; Jamaa kafa ki ukwel ukwel kabsa, kupitia hiyo ajari!
Sahihi kabisa, masuala ya alama za vidole na DNA bado zinaweza kutumika kumfichuaBabu umesahau alama za vidole na dna,, nadhani hizi ni fikra za wapendwa wake katika hali ya kukataa ukweli kuwa jamaa ameondoka, halafu kwa lipi kwamba marekani wakimuhitaji mpk afikie kujitengenezea kifo, yani ana kipi hafikii hata robo ya Osama .....ambae mwishoni walimdaka na kumuua km mende,,
Marekani tuwachukie tuwapende ila wale ndo viranja wa hii dunia wakiamua kutuzimisha dunia nzima wanaweza
Hilo lilikuwa fisadi huku kwenye nchi zetu zenye marais wapumbavu, hana tishio kwa maisha ya raia yoyote wa marekani, ndo maana ukurasa wa wanaouza saa za gharama wamefuta picha zake alizopiga, wameona walikuwa wanadeal na mjinga mpumbavu mpenda sifa wameona hiyo aibu waifute baada ya kusikia kubwa jinga limekufa,,Sahihi kabisa, masuala ya alama za vidole na DNA bado zinaweza kutumika kumfichua
Teknolojia ya wenzetu imekuwa maradufu, kiasi Cha kujua mengi ambayo kama Nchi tunaweza kujaribu kuyaficha
Huyo mnene ameaga kweli maisha, ni vile ndugu hawataki kuamini kwamba jamaa ameaga Dunia
Hujasikia salaam za pole kutoka inner circles?Wakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani
Kuona isiwe shida ameamua kutengeneza mazingira Kama Yale ya ajari na kwa chivayo kuangusha ndege ile ya gharama ni suala dogo tu So amechagua kuwa huru ili sushi maisha mengine
Kuna baadhi ya vitu vya kujiuliza na ukapata jibu mwenyewe Tena bila kujibiwa na mtu mfano viatu vyake vimepatikana na mkoba wa bibie hapa vuta picha helkopta iwake Moto alafu kiatu kisiungue????
Kuna vingi vya kujiuliza Ila jamaa ameamua kuishi maisha ya Uhuru zaidi somewhere anywhere
Unajificha ila usitumie simu kama alivyobugi Gadafi wakamdaka kama kuku.Ajifiche kwa Wamarekani?Labda siyo hawa Waamerika,kuna wengine!
Bado sana kujificha kwa dunia hii.Labda kuvutavuta muda tu.Unajificha ila usitumie simu kama alivyobugi Gadafi wakamdaka kama kuku.
Watoto hawakuwa kwenye chopa.Kuondoka na familia nzima ndiyo kitu kinacholeta shida kuiamini hii nadharia
Para ya 2 unataka kusemaje?Kama kiatu alikuwa amekivua na kikaruka kabla ya mlipuko?
Hukuwahi kusikia ajali ya ndege imeuwa kasoro Mtoto mmoja?
Na ilikuwa angani ?
Haya turudi kwa huyu jamaa
Mbona kulikuwa na helicopter nyingine kwenye msafara na wakaongea kabla na Baada ya ajali ile helicopter ikaenda na kutua kuwasubiri
Je huoni kuwa kuna kitu hapo
Copying from facebook hii hata usitudanganye sisi wakazi wa JF kwanzia 2008Wakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani
Kuona isiwe shida ameamua kutengeneza mazingira Kama Yale ya ajari na kwa chivayo kuangusha ndege ile ya gharama ni suala dogo tu So amechagua kuwa huru ili sushi maisha mengine
Kuna baadhi ya vitu vya kujiuliza na ukapata jibu mwenyewe Tena bila kujibiwa na mtu mfano viatu vyake vimepatikana na mkoba wa bibie hapa vuta picha helkopta iwake Moto alafu kiatu kisiungue????
Kuna vingi vya kujiuliza Ila jamaa ameamua kuishi maisha ya Uhuru zaidi somewhere anywhere
Ziliondoka chopper mbili kutoka kwake moja akiwemo Bonge na nyingine ChisiPara ya 2 unataka kusemaje?
Duuh kuna walakini hapo mbona.Ziliondoka chopper mbili kutoka kwake moja akiwemo Bonge na nyingine Chisi
Nina wasiwasi tukio labda lilipangwa na Baada ya kuona jamaa kateketea wakarudi zao
I’m not sure ila nimewaza tu