πππKama ametumia mbinu hiyo, aambiwe soon watamdaka wakimhitaji
Labda akafanyiwe surgery na kuwekewa puto kama la Peter msechu ama akatwe utumbo kama Wema ili apungue
Otherwise atadakwa karibuni kama Osama tu
Kuna DNA mkuu haiongopi hata akijificha kwa miaka 50 atagundulika tu, na kama ilivyo kwa mwanandamu atajisahau na kufanya kosa moja tu ambalo ndio litamkamatisha wenyewe wakiamua linakuwa suala la muda tu.Kama ametumia mbinu hiyo, aambiwe soon watamdaka wakimhitaji
Labda akafanyiwe surgery na kuwekewa puto kama la Peter msechu ama akatwe utumbo kama Wema ili apungue
Otherwise atadakwa karibuni kama Osama tu
watakuchosha tu, watu wako msibani huko, mjini gandami ,hao wachambuzi uchwara achana naoTunasubiri wachambuzi wa haya mambo
UongoWakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na msuguano na marekani
Kuona isiwe shida ameamua kutengeneza mazingira Kama Yale ya ajari na kwa chivayo kuangusha ndege ile ya gharama ni suala dogo tu So amechagua kuwa huru ili sushi maisha mengine
Kuna baadhi ya vitu vya kujiuliza na ukapata jibu mwenyewe Tena bila kujibiwa na mtu mfano viatu vyake vimepatikana na mkoba wa bibie hapa vuta picha helkopta iwake Moto alafu kiatu kisiungue????
Kuna vingi vya kujiuliza Ila jamaa ameamua kuishi maisha ya Uhuru zaidi somewhere anywhere
Ni sahihi Mkuu, hawezi kujificha mwaka mzima bila kujulikanaKuna DNA mkuu haiongopi hata akijificha kwa miaka 50 atagundulika tu, na kama ilivyo kwa mwanandamu atajisahau na kufanya kosa moja tu ambalo ndio litamkamatisha wenyewe wakiamua linakuwa suala la muda tu.
π ππππ
Viongozi wengi wala rushwa walikuwa na urafiki naye hasa huku AfrikaHilo lilikuwa fisadi huku kwenye nchi zetu zenye marais wapumbavu, hana tishio kwa maisha ya raia yoyote wa marekani, ndo maana ukurasa wa wanaouza saa za gharama wamefuta picha zake alizopiga, wameona walikuwa wanadeal na mjinga mpumbavu mpenda sifa wameona hiyo aibu waifute baada ya kusikia kubwa jinga limekufa,,
Kiukweli ile picha yake na binti chura ilinikera na huyo maza ni kimbulu yani lipaka shume kama nchi tuna hasara hajawahi kutokea rais wa nchi kuwa swahiba na mtu aina ya huyu marehemu mpumbavu
wengi wanapotea marekani hiyohiyoAjifiche kwa Wamarekani?Labda siyo hawa Waamerika,kuna wengine!
mbona mamilkioni za wahalifu wasiopatuikana yamejaa huko nchi za marekani na mauaji kila siku nchi hizo na ulaya bila hata ya kushioka wauaji?Unajificha ila usitumie simu kama alivyobugi Gadafi wakamdaka kama kuku.
ingekuwa hivyo marekani wasingekuwa na Mysterious unsolved murder na mamilioni ya wauaji wote wangeshikwaMarekani akikutaka huwezi enda popote kujificha.
Huyo jamaa kafa kweli.
Na muache theory zenu zisizo na mantiki.