Kuna Vibaka nawaona kabisa wanakula Rada Dirisha la Gheto langu, tafadhalini nichagulieni Adhabu ya kuwapa ambayo hawatoisahau Milele

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dah! Nilisha isikia hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamaa alikuwa jirani yangu. Tena tukiwa wadogo alishwahi kupita uchi tukawa tunaimba chura kapita uchi x2 nadhan waliwekeana dau na watu

jamaa alikuja kufa kifo kibaya sana Alitishia sana maisha wakati akiwa Hai Huyu hapa πŸ‘‡

 
basi sawaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbususu uzitoe wapiiiii naweee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu nikae kimyaaa lol
Wanawake wote hawa jamani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dah! Inamaana siwezi kutongoza auπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijakuelewa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakwetu huku kitaa naskia hua haongei hata, madem anawaonea aibu na hata kula mbele za watu anao a noma.
Sasa fungakazi naskia wanyumbani ni kuoga haijawahi tokea....🀣
😁😁😁Dah
 
Wanawake wote hawa jamani [emoji23][emoji23][emoji23] dah! Inamaana siwezi kutongoza au[emoji23][emoji23][emoji23] sijakuelewa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaa kwa password, ntakurogaa bureee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaa kwa password, ntakurogaa bureee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Eeeh! Kurogwa tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na hivi sijapona frsh...Wacha niwempoleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eeeh! Kurogwa tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hivi sijapona frsh...Wacha niwempole[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee jishaue tyuuh, hujui kutuliza hizo njugu 2 na karoti 1? Sasa endeleaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee jishaue tyuuh, hujui kutuliza hizo njugu 2 na karoti 1? Sasa endeleaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dah! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nyundo na msumari wa inchi 6,wakiingiza mkono tuu unauvuta kwa ndani unaugongolea durishari au ukutai kwa msumari ,hiyo inaitwa kumsulubisha mwizi
 
Tindikali.
Usilale siku hiyo wakisogeza uso unawamwagia tu.
Hama uko uswazi.
Kuna siku mwananyamala kibaka anapiga ndoano simu yangu mi namwangalia tu.
Nikaweka bosheni kaingia mkenge.
Toka upande wa pili piga sana mapanga.
Kaenda mwenyewe polisi kujisalimisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…