Juma Bundala
Member
- Mar 9, 2012
- 71
- 5
shule ni kijerumani. kumbuka tuliwahi kutawaliwa na wajerumani, na hapo ndio chimbuko la hilo neno: schule.Mkuu shule ni kireno na sio kiarabu...
hapo sawa toa neno SHULE,je maneno uliyoyaweka nikigezo tosha cha kusema kisw ni kiarabu na siyo kibantu?Mkuu shule ni kireno na sio kiarabu. Maneno tunotumia ya kisw ambayo asili yake ni kiarabu ni km: daftari, kalamu, mstari, mbatata, dawati, shubaka, sanduku, na mengine mengi. Pia tumechanganya na eng na kibantu
Oh!kumbe ni kijerumani vile?shule ni kijerumani. kumbuka tuliwahi kutawaliwa na wajerumani, na hapo ndio chimbuko la hilo neno: schule.
Sikusema km sio kibantu, ni lugha ilichonganya lugha nyengine za wenzetu, kiarabu ni mojawapo.hapo sawa toa neno SHULE,je maneno uliyoyaweka nikigezo tosha cha kusema kisw ni kiarabu na siyo kibantu?