THT walimu wao wanastahili tuzo kiukweli maana kama kazi wanaifanya na ile kweli ni Tanzania House of Talents.Heko kwaoWakuu sipo hapa kupigia debe hawa wasanii, ila kifupi ni kwamba wanajua sana...
Ladha halisi ya muziki ipo THT, hawa inaonekana wanafunzwa hasa na wanaelewa wanachofanya. Kwa kifupi nimewasikiliza wadada wawili Jolie Na Karen, wanajua sana kiasi kwamba wakipata usimamizi mzuri wanaweza kuja kufanya makubwa hapo baadaye.
Jolie Haimaanishi
Karen Lawama
Vipaji vipo kibao sema sikuhizi bosi anawatumia nakuwaacha ukiona wasanii wanapata promo ujue boss anataka awatumie kwa fiesta tuTHT ambayo ilioteka soko la muziki kwa vipaji kama marlaw, maunda zorro,barnaba,amini,mwasiti,pipi etc haipo, so far kwa miaka ya hivi karibuni haijafanikiwa kutoka vipaji bora kama mwanzoni. Kingine ubunifu hakuna yaani watu wa THT ni kama flow na melody zinazofanana. THT ina kazi ya ziada asee
Jolie habari nyinginr aisee Haimaanishi ni bonge moja la ngoma yani ni hatari kabisa....Wakuu sipo hapa kupigia debe hawa wasanii, ila kifupi ni kwamba wanajua sana...
Ladha halisi ya muziki ipo THT, hawa inaonekana wanafunzwa hasa na wanaelewa wanachofanya. Kwa kifupi nimewasikiliza wadada wawili Jolie Na Karen, wanajua sana kiasi kwamba wakipata usimamizi mzuri wanaweza kuja kufanya makubwa hapo baadaye.
Jolie Haimaanishi
Karen Lawama
Vp kuhusu wale wa Tamaduni music nao vp ebu achana na hao wa kubebwa bebwa
Sauti yako (vocal) ya tenor ni nzuri sana, lakini kuna wakati unajaribu kujilazimisha kuingia kwenye sauti za alto, ambako unaosea. Katika tungo usiwe na ujumbe mrefu sana, na usiuweke kwenye mashairi, bali ujumbe uwe ni mfupi unaeoelewaka haraka, na ukae kwenye kibwagizo tu. Kibwagizo chako chote kiasema omba yasikukute, lakini hakiko wazi ni yapi unayoomba yasikukute. Halafu kwenye mashairi yako ndiyo umeweka maelezo ya hayo unayotaka yasikukute. Badilisha Kibwagizo uwe na maneno "omba usipoteze kazi yako"Siklikilizeni wimbo wangu na napenda sana kusikia ushauri juu ya aina ya muziki ninaofanya
Naomba mwe real plz
Jay Melody na Ibranation ndo wanawaandikia sanaHao unaosema wanajua, hata hizo nyimbo zao, hawajaandika mwenyewe. Wameendikiwa!! Sasa hapo wanajua nini??