Kweli mwanangu. Nmeangalia zamoto hapa kila kitu sawa. Basi hii system awaja code wao au wanatumia template tuseme ya website moja. Maana hadi code nmeangalia zinafanana. Naona bei ndo zipo tofauti hapa