Kuna vimaneno nikikuona unavitumia basi moja kwa moja nakuweka kwenye kundi baya

Oyaa Mzigua good morning mwanangu. Usinijibu navuta Bangi
 
Wana Kiswahili wanayaita "Misimu" ni maneno yanayozuka mtaani,huzaliwa na baadae hufa.Kwahiyo yazoee tu yatapotea na yataibuka mengine hiyo ndo sifa ya Misimu.
 
Hapana cha watoto wa kike hata wanaume nawasikia wakisema, kwa hiyo na hao ni wanawake?
 
Mbona oyaaa sio uhuni, afu kwa mwanaume kumwita mwenzio my ni km sio dalili nzuri, ila kuna mchz wangu mmoja anatumia mazaf**a kwenye kila sentensi afu yuko very bright na hatumii cannabis sativa, sasa sijui naye muhuni
 
Kuna mwanaume mmoja Jana kanitext .. Kaniita my .. ***** ... Kilichomkuta atawasimulia hadi wajukuu zake .. Watu wengine wajinga sana
Wengine wanalitumia bila kujua linamaanisha nini
 
mzee useme usi seme wote tunaenda kuliwa na mchwa so hata ukileta sheri zako kuhusu hayo maneno haya zuii mvua au chochote ni ya kupita tu, weraaaaaaaaaaaaaaaaaa😵😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…