Kuna vimaneno nikikuona unavitumia basi moja kwa moja nakuweka kwenye kundi baya

Pole sana... kila mtu na mtazamo wake, au nia na madhumuni ya kuanzisha hii mada ni kutoa ya moyoni kile kinachokukera kwa mtajwa hapo...

wavumilie tu, binadamu ndiyo tulivyo...


Cc: mahondaw
 
Woooooooooooooooozeeeeeeeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] acha tu uniwazie navuta bangi tu kila mtu na mawazo yake shem
 
Siyo kweli nna washkaj zangu tunatumia hayo maneno sana kama mwana, boy, mtabe, mkatili, mtaalamu n.k lkn kati yetu hata sigara tu hatutumii
 
Shem we najua huvuti nachangamsha genge tu.
 
na wanaotumia maneno kama MKUUNDUGU yangu na MKUUMAALUM unawaweka kundi gani,la wavuta bangi au la watumia madawa ya kulevya!!!?
 
Wozaa aina gwere baharia utatukosa machalii nyomi
 
Mi naona mzuuuka tuuuu ukiniona mhuni mvuta bang sijui jambaz ni ww tuuuu mi maisha yanasonga tuu mkuu sinaga habar niko huru na life yang et
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…