Kuna vingi viini macho

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kuwekwa kama DP ya Whatsapp hakumaanishi
wewe ndo Mfalme wake..WALAAA
USIJIDANGANYE! Kuwekwa Facebook na
kuandikiwa Caption ambayo inakutoa machozi
ukiisoma na kumuonea donge aliyewekwa,"My Bae
is the Best,No one has ever loved me like you do" Mapenzi ya siku hizi Chenga Tupu,Unaweza kutoka
na demu Gesti sa 2 Usiku,kashalilia dudu vya
kutosha,GHAFLA sa 4 Usiku unaona kapiga selfie na
Boyfriend wake Halali halafu anaandika,"Ohh Bae,I
love you to the Moon and Back,i love US" Which
Moon are you talking about??My Moon or His Moon??
 
Hii mambo haihitaji hasira. Pata huduma songa mbele. Ukitaka wa peke yako tafuta mwenye ukoma.
 
Daaah.. Kma umeniona vle....
 
Hii mambo haihitaji hasira. Pata huduma songa mbele. Ukitaka wa peke yako tafuta mwenye ukoma.
Mammaee... Nani adate na mwenye ukoma? Na vijidemu vya CBE tumwachie nani?
 
hahwwwwwwwwww hapana usinifanye nicheke matundu yote


cesilia;
Waii, oteeee! jamani. A good girl never speak flaw language kama iziii. No, hapana and Hapana noooo kabisa kabisaaaa
 
cesilia;
Waii, oteeee! jamani. A good girl never speak flaw language kama iziii. No, hapana and Hapana noooo kabisa kabisaaaa
hata wewe uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo nilijua tu watakuwepo kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…