kwa wale wafuatiliaji wa Michezo nahsi mtkuwa mumesikia hii ishuu ya Mrisho Ngasaa kuvunja Mkataba wake na Club yake huko Africa Kusinii..
Hivii ni kwanni wachezaji wengi wa kitanzania hawachelwi kuvunja Mikataba yao hasaa wakiwa wanacheza nje ya Nchi.. Ukiangaliaa wachezaji kama Nizar khalfani ,Haruna Moshi"Boban" na Mrisho Ngasa ni baadhi ya watanzania waliokimbia hko ughaibuni na kurudi bongo.
hivii vijana wa kibongo sio wavumilivu kiasi hicho..
Samataa kawezaje kwanii..??
kwelii kuna vingii vya kujifunza kutoka kwa Samatta
VIVA TZ VIVA SAMATA