Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Haijafahamika bado, lengo lao ni nini hasa mpaka kufikia hatua ya kutofautiana uelekeo na viongozi wengine waandamizi ndani ya chadema.
Yawezekana vita na joto la uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi zilizobaki, bado ni kali mno ndani ya chadema, kila moja anapambana kutafuta kuungwa mkono. Huenda ndiyo sababu ya haya yote, kila moja anapambana kuvutia upande wake kwa maslahi yake kisiasa.
Kwa hali ilivyo,
kuna uelekeo hata wa kuibuka taarifa mpya juu ya waliopotea na kupoteza maisha wakati na katikati ya uchaguzi wa ndani wa chadema.
kuna hali ya kutelekezana kwenye matatizo imeanza kujitokeza ndani ya chadema, na kukizonga chama. Na hiyo ni ishara ya kwamba kuna viongozi na wananchama watapata matatizo kwenye harakati hizi zianazo endelea na kisha kutelekezwa kwa makusudi kabisa kama adhabu ya kisiasa, lakini pia kama turufu ya wengine kupata uongozi wa juu kirahisi bila changamoto. Hii inaitwa akili za kuambiwa changanya na zako.
Inafact,
Madai makubwa ya baadhi ya viongozi wa chadema, wanao jitenga na maandamano haya ni pamoja na kwamba it's wrong timing, irrelevant reasons and slogans za maandamano yenyewe, ukilinganisha na misingi ya kuanzishwa kwa chadema kama chama cha kidemokrasia. Kutoshaurika na kutokuambilika kwa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema, ndiko kumepelekea utofauti huo kuibuka.
unadhani ni viongozi na wanachama gani wa chadema wanajitahidi sana, kukwamisha na kuhujumu jitihada za wengine kufanikisha maandamano hayo ya chadema yaliyo pigwa marufuku na polisi Tanzania?
Ni kwa nia njema au kwa sababu za kisiasa?
hebu wataje walau wafahamike kwa wadau..
Mungu Ibariki Tanzania