Kuna vitimu kama Utopolo,Azam na SBS vinajitutumua vijulikane kupitia Mnyama

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hivi vitimu vinajitutumua na kuja na nyuzi za kumponda mnyama kushindwa kumfunga Al Ahly.

Kitimu kingine hata kuingia makundi tu imewachukua miaka zaidi ya 20 lakini kuna vishoga pale vina mdomo mreefu utadhani haviridhishwi huko nyuma mwiko.

Timu inayojinasibu kuwa bingwa wa kihistoria tulitarajia imeshiriki mara nyingi zaidi michuano ya club bingwa na hivyo ingekuwa inaongelea mafanikio ya kushiriki club bingwa kwa miaka yote hiyo.

Hata hivyo inasikitisha kuwa rekodi yao ni mbaya na sasa ili wapate kiki wanajipendekeza kwa mnyama na kujidai eti watani.

Kubalini tu ninyi ni kama inzi wa kijani mnatusumbua tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mbona unajiaibisha ivyo aisee, Kama timu yako ni kubwa ebu tuonyeshe ata medali moja basi ya michuano mikubwa? Ukubwa wa timu unapimwa kwa makombe na medali Sasa iyo timu yako unayotaka kuwaaminisha watu kuwa ni kubwa tuonyeshe makombe yake na medali basi,
Kubwata bwata tu bila ushahidi wa ukubwa wenyewe unaonekana ulivyo empty kichwani kwa maana mafanikio ya klabu Wala ayahitaji upige domo hapa yanaonekana kwa vitendo, tuambie umetwaa Mataji mangapi ya champions league, confederation cup, na Afl? Je unayo ata medali moja ya iyo michuano achilia mbali kutwaa Mataji husika? Tupe majibu kwanza ndio tuendelee na tukupime Kama unavyo vigezo vya kujiita timu kubwa kuliko wengine!
 
Kulikua na umhuhimu gani wa kuingiza habari za ushoga kwenye chapisho lako?
 
Inaonyesha jinsi ulivyoshoga,ukiona mtu anataja sana ushoga juu ujue yeye ni shoga,labda tukuambie huku huoati bwana,hatutaki kusafisha mtaro wakati k zipo za kubana yanini kucheza na maviiiii??
 
Wewe ndio unajiabisha kujifananisha na watu waliokuacha mbali kihadhi kwa sasa,
Ukiashaambiwa GIANT CLUBS za AFRIKA basi SIMBA SC yumo na kina AL AHLY,MAMELODY,CASABLANCA,PETRO ATLETICO nyie msinipenenge ni vile tu hamna akili..。
 
Ivi giant anapimwa namna gani? Kwa mizizi aliyojiwekea tangu zamani au current form, maana current form yanga yuko juu ya simba
 
Wewe ndio unajiabisha kujifananisha na watu waliokuacha mbali kihadhi kwa sasa,
Ukiashaambiwa GIANT CLUBS za AFRIKA basi SIMBA SC yumo na kina AL AHLY,MAMELODY,CASABLANCA,PETRO ATLETICO nyie msinipenenge ni vile tu hamna akili..。
Makolo hampo katika kundi la giants wa Afrika. Kule AFL mliingia kwa kigezo cha kubalance kwamba kila ukanda utoe timu, wangechua finests 8 wa Afrika msingeshiriki kwa sababu hampo katika top 8 kwenye ranks za CAF. AFL ni kombe la kibiashara zaidi halibebi ile legacy halisi ya soka ndio maana ukiangalia mechi kwa jicho la tatu unaona kuna harufu ya upangaji matokeo.
 
Sidhani kama ana majibu hayo
 
Wewe ndio unajiabisha kujifananisha na watu waliokuacha mbali kihadhi kwa sasa,
Ukiashaambiwa GIANT CLUBS za AFRIKA basi SIMBA SC yumo na kina AL AHLY,MAMELODY,CASABLANCA,PETRO ATLETICO nyie msinipenenge ni vile tu hamna akili..。
Leta ivyo vigezo vya ugiant wako ili tukupime kwamba kwenye izo timu zinazotajwa na wewe unavyo vigezo vinavyofanana na wao, kupiga porojo tu akukusaidii chochote zaidi ya kuendelea kujivua nguo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…