1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
1 Pesa
2 Elimu
3 Cheo
4 Usafi
2 Elimu
3 Cheo
4 Usafi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unapinga nn sasa,, kwa hiyo sie tuwe wachafu?[emoji23]
Wapo wanawake wachache wachafu ila wengi wao ni Wasafi sana.
mi sijasema ktk mapenzi[emoji23]Mungu ametuumba kwa kututofautisha katika kila kila kitu!
Kwenye mapenzi hatuangalii hvyo vitu tunaangalia mapenzi ya dhati japokua wanaume wengi kama umewazidi wanakosa kujiamini!
Ila maisha hayako hvyo maisha ni maridhiano
Neno langu sio sheria mkuu,, ila vizuri sana ukamzidi huyu kiumbeUnajidanganya tu Unadhani wanawake ndio wamechaguliwa kushindwa tu?
Kitu pekee ambacho huwezi kushindana na mwanamke kwa sasa ni kupata (Hedhi na Mimba) Vingine vyote wanaweza kupata na kukuzidi.
mkuu safi, ila inabidi ujitutumue ktk swala la usafiKiukweli Mke wangu kanizidi usafi na kelele tuu ...
ndiyo nakubali hilo 100%Kuna tofauti ya mwanaume kukosa elimu na kuwa zobwe. Kuna wanaume walikosa elimu kwa sababu zisizoweza kuzuilika lakini wana maarifa.
Kwahiyo mme wa Mama Samia alitakiwa apindue Meza Mh! Kuna Vyeo vingine utashindana nae ila akianza kutembea na msafara wa magari na ulinzi wewe kaa pembeni bado utakuwa mme wake tu.Neno langu sio sheria mkuu,, ila vizuri sana ukamzidi huyu kiumbe