Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Bado nawashangaa sana watu waliokuwa wanaibeza Royal Tour na kusema kwamba Rais Samia Suluhu anapoteza muda bora katiba.
Mimi nafikiri sasa watanzania tunapaswa kutambua kuna vitu vya muhimu zaidi kuliko katiba, hivi royal tour ingefanyika saa ngapi kama mama angeanza na katiba?
Hivi mnahisi mchakato wa katiba ni rahisi kama kuchagua kilanja wa darasa?
Sasa hivi tunajivunia matunda ya Royal Tour na hii ni kwa sababu Rais Samia aliona umuhimu wake, katiba ipo na itafanyiwa kazi lakini kuna vitu vya muhimu zaidi ya katiba.
Kubali kataa.