Saa kumi na moja
Member
- Nov 8, 2017
- 59
- 63
Ukiona
1. Mtu ana mtoto hutakiwi kuuliza kama alisex.
2. Mtu kaleta lorry lina matofali hutakiwi kuuliza anajenga
3.Tecno, itel na infinix hutakiwi kuuliza hii simu inaubora?
4.Mdada kavaaa nguo fupi anatembea moja kwa moja jua anauza papuch
5. Mwalimu kwa hasira kabeba fimbo anaelekea darasani hutakiwi kuuliza anaenda nayo kufanya nini?
6. Bidhaa ya kampuni ya haier, hisense, TCL, vivo, xiaomi moja kwa moja imetengenezwa china (Made from China).
Members ongezeeeni.