Saa kumi na moja
Member
- Nov 8, 2017
- 59
- 63
Una maana hizo simu zote ulizotaja sio bora?Ukiona
1. Mtu ana mtoto hutakiwi kuuliza kama alisex.
2. Mtu kaleta lorry lina matofali hutakiwi kuuliza anajenga
3.Tecno, itel na infinix hutakiwi kuuliza hii simu inaubora?
4.Mdada kavaaa nguo fupi anatembea moja kwa moja jua anauza papuch
5. Mwalimu kwa hasira kabeba fimbo anaelekea darasani hutakiwi kuuliza anaenda nayo kufanya nini?
6. Bidhaa ya kampuni ya haier, hisense, TCL, vivo, xiaomi moja kwa moja imetengenezwa china (Made from China).
Members ongezeeeni.
Asilimia 70 watu wanatumia simu hizo hususani TanzaniaUna maana hizo simu zote ulizotaja sio bora?
Kama ina chaji, huwa haziishi chaji.3.Tecno, itel na infinix hutakiwi kuuliza
Simu zote izo zimetengenezwa maalumu kwa Soko la Africa. Kwa nini zisiuzwe pia masoko ya Europe, North America na kwao wenyewe China.Una maana hizo simu zote ulizotaja sio bora?
Mkuu nipo likizo mimi πππKumbe chit chat & jokes.
7. Ukimuona Poor Brain yupo na maza mtu mzima/mbibi hutakiwi kuuliza ni nani yake, jua mahangazi huo.