Kuna vitu ukivipuuza na kuvidharau vitakudhalilisha tu utake usitake!

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
KUNA VITU UKIVIPUUZA NA KUVIDHARAU VITAKUDHALILISHA TUU UTAKE USITAKE!

Anaandika, Robert Heriel.
Shahidi!

Leo sina maneno mengi, nimekula kiporo cha Wali maharage hapa, Kwa kweli ni kitamu ingawaje sipendi vile kinavyonilewesha na kunipa uvivu.

Haya ni mambo ambayo ukiyapuuza na kuyadharau ninakuhakikishia yatakudhalilisha tuu utake usitake.

1. Muda
Kila Jambo la Muda wake. Muda ndio huamua Maisha ya binadamu. Endapo utaupuuza na kuudharau muda hautoacha kukudhalilisha.

Kuna Wakati wa kupanda na Wakati WA kuvuna.

Kuna Wakati WA kukusanya na Wakati WA kutapanya.

Kuna Wakati WA kuoa/kuolewa na kuna Wakati usiowakufanya hayo.

Muda ni kiumbe kinachoishi. Kina macho, kinamasikio, kinamikono, kinazalisha, kinajongea, kina hisia. Muda ukiupuuza lazima ulipe Kisasi. Jambo moja kuhusu muda ni kuwa haunaga kitu kiitwacho Msamaha.

2. FAMILIA
Familia ndio kila kitu Kwa Watu Werevu wenye kujua Maisha ni nini. Maisha bila familia hayafai kitu chochote.
Familia ni Mume, Mke na watoto. Hiyo ndio familia yako. Achana na Ile dhana ya Mzazi, mzazi wako sio familia yako, Ila wewe ni familia ya Wazazi wako. Unajua Kwa nini Mzazi sio familia yako? Ni Kwa sababu huna mamlaka naye.

Moja ya jukumu kubwa la Mzazi Kwa mtoto ni kumfundisha kuipenda Familia yake. Yaani wewe kama Baba au Mama unatakiwa kumfundisha mtoto wako kuwa siku akiwa mtu mzima ampende MKE/Mume na watoto wake(familia yake) kuliko kitu chochote kile. Kwa sababu Kwa kutokufanya hivyo ni kumaanisha ameipuuza na kuidharau familia, Jambo ambalo matokeo yake ni kudhalilika.

Kudharau MKE au Mume, kupuuza na kutowajibika kwenye familia yako Kwa kisingizio chochote kile ni kutafuta kudhalilika na kudhalilishwa katika Maisha Huko mbeleni.

Watu hufanya Jambo lolote Kwa sababu ya familia zao, lakini Watu dhalili hutoa visingizio visivyoisha kuiumiza Familia.

Matokeo yake kilio na maombolezo hutokea. Kuipenda familia yako ndio uzalendo namba moja katika Maisha ya Mwanadamu. Mtu hawezi kuipenda nchi au jamii yake kama haipendi familia yake.

3. AFYA
Kudharau afya yako ni kutafuta kujidhalilisha Huko mbeleni. Ni kujitafutia matatizo tu. Kudharau afya yako hutoa tafsiri kuwa haujipendi wala kujijali. Hakuna mtu mwenye Akili timamu ambaye atakubali uwe rafiki yake au uwe MKE/Mume wake ikiwa haujijali afya yako.

kama hujali afya yako tafsiri yake ni kuwa haujali hata Watu wanaokupenda, hauwapendi. Na wewe ni mbinafsi.

Kwa Mfano, Unajua kabisa umeoa au kuolewa lakini unafanya Ngono zembe. Hiyo tafsiri yake haujali afya yako wala haujipendi. Ndio maana kidini na kisheria mwenza anayefanya zinaa hupewa Talaka Kwa sababu ya madhara yanayoweza kujitokeza. Kwa hakika ni madhara ya kudhalilika na kudhalilishana.

Unywaji pombe na uvutaji WA sigara kupitiliza NI sehemu ya mtu kupuuza na kudharau afya yake. Ni aidha MTU huyo anamatatizo ya Akili, kihisia au Kiroho ndio hupelekea mtu kutojipenda afya yake.

Magonjwa kama kisukari, presha, Saratani na magonjwa mengine yasiyoambukiza huweza kukudhalilisha vilivyo.

Magonjwa yanadhalilisha hilo hakuna asiyelijua. Fikiria unakisukari, hauwezi kusimamisha Uume kwaajili ya kumshughulikia Mkeo. Huoni huo ni udhalili?

Vijana, ni muhimu kujiheshimu, kujipenda, kujijali Kwa sababu kufanya hayo ni kuwafanyia wengine vivyohivyo.

4. KAZI
Ukiupuuza na kudharau kazi tambua unatafuta kudhalilika. Hakuna aliyepuuza na kudharau kazi ambaye hajadhalilika, sijawahi kuona, kama wewe umewahi kuona utaniambia.

Kwanza kazi yoyote Ile usipoifanya Kwa Moyo WA mapenzi na kuiheshimu kazi hiyo haitakulipa kamwe. Kazi inahitaji Akili, nguvu na mapenzi. Hayo Matatu kisipungue hata kitu kimoja.
Kutokufanya kazi ni kutafuta kudhalilika na kudhalilishwa na Maisha.

Tunaishi ili tufanye kazi, tunafanya kazi ili tuendeshe Maisha, yaani tuendelee kuishi.
Kuishi kunahitaji mambo makuu ambayo nimekwisha kuyataja,
1. Muda
2. Familia
3. Afya
4. Kazi.

Na hayo manne yanategemea Mambo makuu mawili;
1. Heshima
2. Upendo.

Kwenye heshima na upendo kuna Akili, nguvu, na mapenzi.

Nikisema sitasema mengi kwani nimekula kiporo. Bila Shaka tutakuwa tumefika wote salama katika Kupata kitu walau kimoja chenye kujenga.

Nipumzike SASA.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Hiyo point namba 3 ndo udhaifu wangu ulipo, inshaallah nitajirekebisha
 
KUNA VITU UKIVIPUUZA NA KUVIDHARAU VITAKUDHALILISHA TUU UTAKE USITAKE!

Anaandika, Robert Heriel.
Shahidi!

Leo sina maneno mengi, nimekula kiporo cha Wali maharage hapa, Kwa kweli ni kitamu ingawaje sipendi vile
Kwa sasa Dar es salaam
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji817][emoji817]
 
Uko sahihi, na umesababisha niandike siri yangu. kuna siku nilikua na jukumu nje ya ofisi, baadae lile jukumu liliisha, ila tukawa tunabadishana mawazo tu eneo lile.
Sasa wakati tunaendelea na maongezi, nikasikia kushikwa na haja ndogo, ila nikaona niibane tu, baadae kidogo, tumbo nalo, nikasikia lina unguruma gruu gruu.

Kwakua kulikua na kamsitu pale karibu, ukilinganisha na umbali ofisi zilipo, nikitegemea nikapinguze maji alafu, nirudi niendelee na maongezi. Aise nilijilaumu kwa kuto kwenda chooni moja kwa moja, kwani ile najaribu kumwaga maji, ikawa kama yamegoma kutoka.

Kosa likaanzia hapo, niliosema nipushi, kumbe muungurumo wa tumbo, lilikua tumbo la kuharisha, yaani nilipopushi nasikia kitu mpaka kwenye, boksa, na hali ya hewa kuwa mbaya eneo lile.

Nilichofanya nikuzama ndani ya msitu, nikafua ile chupi, na kuitupa nikatafuta majani, nikajitoa uchafu ulinigusa miguuni wakati natembea kuzama msituni, pale niliwaaga kwa mbali tu jamani nina dharula nikiwaonyeshea tumbo, bahati wakati naelekea chooni sikukutana na mtu karibu, nikaingia nikitawadha vizuri kulikua na vichee vya sabuni nikatumia kujisafishia, ila ile boksa niitupa kule kule msituni, kumbe nisingepuuzi yasingetokea.
 
Aisee, kwanini nimesoma huu ujinga? Siku yangu imeharibika kabisa
 
KUNA VITU UKIVIPUUZA NA KUVIDHARAU VITAKUDHALILISHA TUU UTAKE USITAKE!

Anaandika, Robert Heriel.
Shahidi!

Leo sina maneno mengi, nimekula kiporo cha Wali maharage hapa, Kwa kweli ni kitamu ingawaje sipendi vile kinavyonilewesha na kunipa uvivu.

Haya ni mambo ambayo ukiyapuuza na kuyadharau ninakuhakikishia yatakudhalilisha tuu utake usitake.

1. Muda
Kila Jambo la Muda wake. Muda ndio huamua Maisha ya binadamu. Endapo utaupuuza na kuudharau muda hautoacha kukudhalilisha.

Kuna Wakati wa kupanda na Wakati WA kuvuna.

Kuna Wakati WA kukusanya na Wakati WA kutapanya.

Kuna Wakati WA kuoa/kuolewa na kuna Wakati usiowakufanya hayo.

Muda ni kiumbe kinachoishi. Kina macho, kinamasikio, kinamikono, kinazalisha, kinajongea, kina hisia. Muda ukiupuuza lazima ulipe Kisasi. Jambo moja kuhusu muda ni kuwa haunaga kitu kiitwacho Msamaha.

2. FAMILIA
Familia ndio kila kitu Kwa Watu Werevu wenye kujua Maisha ni nini. Maisha bila familia hayafai kitu chochote.
Familia ni Mume, Mke na watoto. Hiyo ndio familia yako. Achana na Ile dhana ya Mzazi, mzazi wako sio familia yako, Ila wewe ni familia ya Wazazi wako. Unajua Kwa nini Mzazi sio familia yako? Ni Kwa sababu huna mamlaka naye.

Moja ya jukumu kubwa la Mzazi Kwa mtoto ni kumfundisha kuipenda Familia yake. Yaani wewe kama Baba au Mama unatakiwa kumfundisha mtoto wako kuwa siku akiwa mtu mzima ampende MKE/Mume na watoto wake(familia yake) kuliko kitu chochote kile. Kwa sababu Kwa kutokufanya hivyo ni kumaanisha ameipuuza na kuidharau familia, Jambo ambalo matokeo yake ni kudhalilika.

Kudharau MKE au Mume, kupuuza na kutowajibika kwenye familia yako Kwa kisingizio chochote kile ni kutafuta kudhalilika na kudhalilishwa katika Maisha Huko mbeleni.

Watu hufanya Jambo lolote Kwa sababu ya familia zao, lakini Watu dhalili hutoa visingizio visivyoisha kuiumiza Familia.

Matokeo yake kilio na maombolezo hutokea. Kuipenda familia yako ndio uzalendo namba moja katika Maisha ya Mwanadamu. Mtu hawezi kuipenda nchi au jamii yake kama haipendi familia yake.

3. AFYA
Kudharau afya yako ni kutafuta kujidhalilisha Huko mbeleni. Ni kujitafutia matatizo tu. Kudharau afya yako hutoa tafsiri kuwa haujipendi wala kujijali. Hakuna mtu mwenye Akili timamu ambaye atakubali uwe rafiki yake au uwe MKE/Mume wake ikiwa haujijali afya yako.

kama hujali afya yako tafsiri yake ni kuwa haujali hata Watu wanaokupenda, hauwapendi. Na wewe ni mbinafsi.

Kwa Mfano, Unajua kabisa umeoa au kuolewa lakini unafanya Ngono zembe. Hiyo tafsiri yake haujali afya yako wala haujipendi. Ndio maana kidini na kisheria mwenza anayefanya zinaa hupewa Talaka Kwa sababu ya madhara yanayoweza kujitokeza. Kwa hakika ni madhara ya kudhalilika na kudhalilishana.

Unywaji pombe na uvutaji WA sigara kupitiliza NI sehemu ya mtu kupuuza na kudharau afya yake. Ni aidha MTU huyo anamatatizo ya Akili, kihisia au Kiroho ndio hupelekea mtu kutojipenda afya yake.

Magonjwa kama kisukari, presha, Saratani na magonjwa mengine yasiyoambukiza huweza kukudhalilisha vilivyo.

Magonjwa yanadhalilisha hilo hakuna asiyelijua. Fikiria unakisukari, hauwezi kusimamisha Uume kwaajili ya kumshughulikia Mkeo. Huoni huo ni udhalili?

Vijana, ni muhimu kujiheshimu, kujipenda, kujijali Kwa sababu kufanya hayo ni kuwafanyia wengine vivyohivyo.

4. KAZI
Ukiupuuza na kudharau kazi tambua unatafuta kudhalilika. Hakuna aliyepuuza na kudharau kazi ambaye hajadhalilika, sijawahi kuona, kama wewe umewahi kuona utaniambia.

Kwanza kazi yoyote Ile usipoifanya Kwa Moyo WA mapenzi na kuiheshimu kazi hiyo haitakulipa kamwe. Kazi inahitaji Akili, nguvu na mapenzi. Hayo Matatu kisipungue hata kitu kimoja.
Kutokufanya kazi ni kutafuta kudhalilika na kudhalilishwa na Maisha.

Tunaishi ili tufanye kazi, tunafanya kazi ili tuendeshe Maisha, yaani tuendelee kuishi.
Kuishi kunahitaji mambo makuu ambayo nimekwisha kuyataja,
1. Muda
2. Familia
3. Afya
4. Kazi.

Na hayo manne yanategemea Mambo makuu mawili;
1. Heshima
2. Upendo.

Kwenye heshima na upendo kuna Akili, nguvu, na mapenzi.

Nikisema sitasema mengi kwani nimekula kiporo. Bila Shaka tutakuwa tumefika wote salama katika Kupata kitu walau kimoja chenye kujenga.

Nipumzike SASA.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Chai
 
Mazeri anadharau kazi.

Eti katia pamba masikioni.
 
Kote sawa ila kuchukua western perception ya maana ya kaya sio mtazamo sahihi hata kidogo.

Kiafrika Kaya ni Babu ,Bibi, Wazazi na Watoto maana unapowatoa kwenye Kaya ujue pia umewatoa kwenye majukumu ya kuwatunza, kuwapenda, kuwajari na kuwahudumia.
 
Back
Top Bottom