ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mtaani kuna mambo yanafurahisha sana mimi napenda kula hasa asubuhi nile supu juice ya passion ama parachich na Mihogo ama Maharage na mayai pia napenda kushabikia yanga team napenda kucheza mziki hasa amapiano za south ama tamaduni muzik au old bongo fleva pia napenda na pombe pia stripchart za Kenyan ama south Africa ama Columbia au USA mara nyingi nikiwa ndani ya vitu hivyo huwa nacheka na kufurahi na kupenda kutania watu huwa ninacheka cheka sana yaani ukiniona nimenuna jua nimewaza madeni yangu ila tofaut na hapo nimewekeza sana muda wangu kwenye furaha. Sasa ile hali ya kucheka cheka inafanya baadhi ya watu waniambie ninakaribia kuchanganyikiwa sasa Nina jiuliza ni kweli au maneno yao tu ya wivu.