Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Ila kutumia pesa ni kupenda tu mwenyewe.Nakataa kufata trend za kipuuzi sasa, hii generation ni ya ajabu kupita kiasi. Hizi ni sherehe ambazo hazina maana zaidi ya kupoteza pesa na muda;
Kuna siku wataleta "Happy Breathing Day " na usipost you are officially dead.
- Happy birthday
- Valentine’s day
- Happy new year
- Boxing day
- Happy girlfriend day
- Happy mothers day
- na Happy upuuzi mwingine.
Furahia maisha kila siku sio mpaka Happy birthday au new year, onyesha mapenzi kila siku sio Mpaka Valentine’s day, mpende mama siku zote sio mpaka mother's day.
Acha kubebwa na trendy. Call me old school I don't care I celebrate life everyday not when Instagram say!
Hii sasa ni maelewano kati yako na mpenzi wako na huwezi kuwashirikisha nchi nzima kujadili mizinga unayopigwa na mpenzi wako huenda hiyo ndio tabia yake na hata zikifutwa hizo siku za maadhimisho bado ataendelea kukupiga mizinga,cha msingi wewe kama mwanaume uwe na msimamo sio kila kitu unachoambiwa lazima ufanyeMimi siktai hizi sherehe nachokataa ni kuwa hizi sherehe zote ni wanawake pekee ndio wanataka wanaume tujitoe kuanzia .
Muda wetu
Pesa zetu
Mpaka kuwapost ikiwa wenyewe hawana chochote cha kuoffer kwenye izo siku zaidi ya K tu.
Vyovyote utakavoziita ila usipoteze maanaKwani hizi NI sherehe au maadhimisho Tu.
Sidhani kama Elon musk anasherekea hizi mamboKuna watu watakuambia utafute pesa🤔
😆 😆 😆 😆Siku ukija kugundua ulioa mke mjinga au una mpango wa kuoa mke mjinga…, ole wako usimuweke mtandaoni endapo siku yake ya kuzaliwa ikifika na akalaghaiwa na kakijana kakuni na kajanja ka-mjini kakawa kanamuweka mpaka kwenye profile picha yake umekwisha! 😅
Sina punguza muda na pesa, unatumia nini kufikiri?Ila hazipunguzi kitu kwenye maisha ya mtu. Hakuna sababu ya kuziita za kipuuzi