Kuna vitu vingine havina hata maana, eti Girlfriend Day!

Busy for nothing
 
Mkuu jitahidi kupumzisha mwili yaani kulala usiku walau masaa6 na kunywa maji mengi walau lita4 tu kwa siku inasaidia sana kupunguza stress na presha pia huleta msawazo katika mwili.
 
Nakataa kufata trend za kipuuzi sasa, hii generation ni ya ajabu kupita kiasi. Hizi ni sherehe ambazo hazina maana zaidi ya kupoteza pesa na muda;

Huko mbele watu wanasheherekea kitu kinaitwa Halloween, siku ya kukumbuka roho za mizuka na vizuka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…