Kuna wabunge wengine ni mashujaa, ona Bob Wine amelala geto kukwepa askari

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Mbunge Robert Kyagulanyi Sentamu, hapa alilazimika kulala maskani yake ya zamani na washikaji zake baada ya kujua kuna Mpango wa kumkamata asizuie mswada bungeni wa kumuondolea Mseven umri wa kugombea

Naona anakula chakula Cha getho chapati na maharage, uganda wanaita kikomando
Kama chakula hicho ni cha ghetto basi hapa Tanzania almost kila nyumba ni ghetto na 90% ya watanzania wanaishi kigheto, sijui makada mnasemaje hapo? ;
 
kiki tu,kulikuwa kuna haja gani ya kujirekod video?hana tifauti na yule jamaa ...........
 
Mleta mada hueleweki ulitaka kusema nini au nini uelewa wako ktk hili. Huvuti mibange kweli wewe?
 
Back
Top Bottom