mimi ni member mpya hapa jf ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, Asprin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruuhusu..
Wewe unatafuta ngumi. Subiri kidogo
kwanini? au ni wake za watu wameolewa?
Wewe unatafuta ngumi. Subiri kidogo
Hawa watakuwa wamevurugana siasani ndo huyu kaamua kuja kujipoza...
Kasema ana miaka 17 wamsamehe tu.