Kuna wadada wana majaribu; Unapigaje simu ya biashara saa 7 usiku!

Kuna wa Dada wanamajaribu SMH
Hivi kweli mtu anakupigia simu ya biashara saa 7 usiku ? imekaaje hiyo
Wewe unamsema huyo, kuna jamaa yangu wakati hajamuoa mkewe ndio wako kwenye process, huyo mchumba alikuwa mkoa, maza yuko dsm na jamaa yuko dsm. Maza anajipenda anawaka kinoma. Akawa ana tabia ya kumpgia mkwewe usiku saa 6 huko eti anamtakia usiku mwema, na kumuuliza kama amekula. Jamaa akaacha kuwa anapokea simu zake maana hata mazoea hawakuwa nayo.
 
Kazi kweli kweli .... mbuzi anajileta kwa muuza supu
 
Back
Top Bottom