Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

Mwanamke kwenda kwa mwanaume kirahisirahisi hivi, si dalili njema, ila uamuzi ni wenu.
 
tiGo anatoa?
 
Wapi nimesema kaacha kazi kwasababu ya mwanaume? Yeye kaacha kazi kwasababu ya makwazo. Soma uzi Kwa utulivu acha kukurupuka.
Mpumbavu kabisa wewe rudia kusoma uzi wako uone wakati anakusimulia life story yake kama hakuna mahali umeandika hayo!!! Kama huwa mnatunga story muwe na kumbukumbu ya mnachokiandika!!! Mshenzi wewe!!! Wewe ndiye unakurupuka!!! Mbuzi wewe!!!
 
Mkuu wengi sana hapa watakuambia huyo anakufaa . Ila mimi nitakua tofauti sana. Wanawake wengi huwa wa maana sana pale wanapokua hawana plan B. Huyo dem hapo wewe amekuona kuwa ndio mkombozi wake atakua mnyenyekevu sana kwa kipindi hiki ambacho anashida ili umsaidie. Atakapokutumia na kufanikiwa ndipo utaijua rangi yake halisi, sio sasa.

Ushauri wangu, huyo dem kula, ishi nae, msaidie ila usimsaidie kama life partner utakuja kuanzisha uzi wa kutuomba ushauri humi. Msaidie tu kama mtu mwingine au kama dem mwingune yeyote anaekupa utelezi. Siku akifanikiwa, pengin e akapata kazi ya professional yake, akawa anapata pesa yake, akaweza kujihudumia mwenyewe halafu akaendelea kukuheshimu hapo sasa anza hesabu za kuoa. Ila kwa hio situation mazee madem huwa wapole sana wanapokua hawana kitu na huruka futi mia wakifanikiwa.
Utakuja kulia

Cc: Christina Shusho.
 
Mpumbavu kabisa wewe rudia kusoma uzi wako uone wakati anakusimulia life story yake kama hakuna mahali umeandika hayo!!! Kama huwa mnatunga story muwe na kumbukumbu ya mnachokiandika!!! Mshenzi wewe!!! Wewe ndiye unakurupuka!!! Mbuzi wewe!!!
Sawa nyie mnagombania nini, dem aliacha kazi mara mbili ya kwanza ninkazi ya elimu yake aliachishwa na mwanaume ya pili ya baa aliacha mwenyewe
 
Wanawake wajanja sana jichanganye uje na uzi mwingine kiufupi hizo story zote alizokupa binti ni za uongo amekuingiza King umejaa utapigwa tukio moja hutasahau mpaka unaingia kaburini hakuna mwanamke mjinga kiasi hicho aache kazi kisa mume yaani mpaka hapo hujashtuka.
 
[emoji848][emoji848]

Umezungumza kila kitu mkuu. Asante sana.
 
Nimewahi kutana na mabinti kama wa3 hivi kila nilipoenda nao ghetto kesho yake waliosha vyombo na kupiga deki nyumba nzima and to be honest it's amazing
 
Usichelewe najua ulipo nami namtaka ila angalia usije fungua thread ya maumivu.
 
Hujasema kama walishaachana
 
Nimewahi kutana na mabinti kama wa3 hivi kila nilipoenda nao ghetto kesho yake waliosha vyombo na kupiga deki nyumba nzima and to be honest it's amazing
[emoji28][emoji28]

Halafu ukawatumia na kuwaacha [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…