Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

[emoji419][emoji419][emoji375][emoji375][emoji375]
 
Usiache hioo pisiii man oa kabla ujajua tabia yake
 
Hii thread ya lini mbona sikuwahi kuisoma na ni nzuri sana
 
Wakuu Mimi sijaoa, il Kuna Binti ambaye nilikuwa namfikiria fikiria kumuoa ila hili ni jaribu kwakweli. Yani huu ni wakati mgumu sana napitia, sielewi kwakweli.

Mkuu vipi huyu mrembo mmefikia wapi
 
Usi oe kwakumwonea huruma kwakuwa yeye ni yatima angalia vigezo vyako au kama ni akili za nyege zinakusumbua hapo ndipo akili zitakukaa badaye ukisha mjua vzri ……. Inawezekana ni mke mwema jaribu kumpa mda
 
KAmpime kama yupo safi anza nae maisha, watu hao wameshaona pande zote za maisha nina imani atakuwa mke mwema sana kwako,hakika mungu ana njia zake kwa alitakalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…