Tetesi: Kuna wadau wanaandaa mpango wa kuchafua taswira ya zoezi zima la ununuzi wa korosho kwa lego la kuichafua serikali


Hahahaha, mlaghai masikini halafu mnakuja na blame game..
Kama mmeshanunua korosho zote, mkawalipa wakulima kwa wakati, hujuma zinakujaje?

Tuondolee utoto hapa.
 
nguvu na akili haviendi sawa, aidha nguvu iwe kubwa akili kidogo au akili kubwa nguvu kidogo. tafakari hiyo ya kwanza
 
Kuna taarifa kwamba baadhi ya wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na baadhi ya wajumbe wa bodi ya korosho
Mwanzo mlisema Membe, sasa wamekuwa wabunge tena?
 
Tufike pahali serikali ijikite katika vitendo zaidi maneno maneno haya hayanafaida yeyote zaidi ya kuonesha udhaifu wa serikani na kuwapa faida wakwamisha serikali. Kama wako na mnawajua washughulikieni kimya kimya sisi wengine tutasikia mshindo wake. Maana wahenga kushasema kimya kingi.......

Gracias por togo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…