johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hii Nchi ilishapata Uhuru so mambo ya siasa ni ajira tu na kusaka Fursa
Mchungaji Msigwa kalipiwa faini ya Kutoka gerezani na kuahidiwa Ubunge lakini akakataa akidhani Chadema ndio wazazi wake. Leo kaomba mwenyewe kuhamia CCM na kudai Chadema ni ajenti wa shetani
Yupo Twaha Mwaipaya aliahidiwa Ukuu wa wilaya ya Ilala huku Nusrat Wenje akiwa Mbunge, Wote Wawili walikuwa gerezani
Nusrat Wenje alikubali lakini Twaha Mwaipaya alikataa akidhani Chadema ndio wazazi wake 🐼
Twaha umevuna ulichopanda Wenzako akina Lijualikali na Nassari Shavu dodo 😂
Na Wewe Lema JK na Mwigullu ndio wamekurudisha Tanzania, hamia CCM haraka
Chadema haina future Tena na haitapata Kura za majimboni za kufuzu kupata ruzuku kwa sababu mikakati ya Alhaj Mchengerwa ni ya kisayansi na kisheria zaidi
Chadema tuonane 2030 😂😂