Kuna wakati magoli yanafungwa wewe kama shabiki watimu unakosa umlaumu nani.

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Kwanza kabida mm nishabiki kindaki wa Liverpool jana tumepigwa vitatu na Fc Barcelona. Ila kama shabiki nilitafuta wakumlaumu kwa kipigo kile amekosekana. Nilitaka niseme labda refa ila hapana, sijui kocha uko nako hapana, wachezaji cjui wangefanya nn zaidi ili kuzuia zile goli? Kwakweli ata wachezaji wenyewe wasingeweza. Lile goli la kwanza sijui Surez alitokea wapi mungu wangu, goli la pili beki bora duniani alibidi ashike kiuno maana akujua Messi alikotokea, goli la tatu mungu wangu hii inaitwa an attempt to kill hivi kipa angefanya nn pale kuokoa goli? Messi mungu anakuona.
 
Yule ndiye Lionel andres messi ..binaadamu aliyeletwa duniani kwaajili ya kufanya shughuli moja tu pekee ...

Kuwafundisha wachezaji wa mpira wa miguu kucheza mpira ..na kutu burudisha wapenzi wa mpira wa miguu

Halafu huyo uliye mtaja kuwa ni beki bora duniani Hiyo tuzo amepewa lini !?,...au ndio mmeshaanza misifa mashabiki wa epl kama ilivyo desturi yenu
 
Wanasema ashukuru mungu kwa sababu messi anacheza laliga vinginevyo ata hyo tuzo asingepata. Roho inauma kiukweli ila nimekosa wakumlaumu.
 
Shughuli moja pekee na kwenye timu moja pekee[emoji23][emoji23]
 
Shughuli moja pekee na kwenye timu moja pekee[emoji23][emoji23]
Mchezaji wa kiwango kile ana stahiki kubaki katika club 1kubwa pekee ambayo ndio inaendana na hadhi yake ....club ambayo ina vision za kunyakua mataji kila msimu mpya ... huwezi kumpeleka messi katika club ambazo ina struggle zaidi ya miaka 6 .25.12 .kuchukua tu ubingwa wa mashindano ya ndani na bado zina shindwa...kumtaka aende huko ni kumdhalilisha
 
mkuu mesii hana mpira wowote wa burudani mpira wa burudani alikua ronadinho tu kina mess na ronaldo matokeo zaidi
 
Uchambuzi wa pundit Wenger unapeleka lawama za moja kwa moja kwa van Dijk kwenye goli la kwanza😉
 
Laumu Klopp.
Anaumia Keita unaingiza Henderson. Kwanini asiingie Firmino/Sturidge/Origi ili Winaldium (sinauhakika na Spelling) ashuke sehemu ya Keita?
 
Kwangu mimi jana game iliisha baada ya nabil keita kuumia!! Nadhani pale pale angemuingiza bobby firmino kisha wijnaldum ashuke chini hii ingesaidia kidogo lakini sub hii alichelewa kuifanya, akamuingiza henderson ambae kwenye game hawezi kukupa kile nabil keita anaweza kukupa!! Hapa tu liver ikajifia.
 
Ni kweli ww km ni mwanasoka halisi goli la kwanza lawama ni kwa vd!! Yeyr ndio alipaswa kumark pale, mtu kakimbia toka huko kaja kufunga goli free tena ndani ya box ni kosa kwake van dijk.. Sijui wengine wanaonaje.
Uchambuzi wa pundit Wenger unapeleka lawama za moja kwa moja kwa van Dijk kwenye goli la kwanza😉
 

Muulize hivi kuna mkazi wa Masaki ya ostabay anaependa na kutaka kuhamia tandale au manzese
 
Laumu Klopp.
Anaumia Keita unaingiza Henderson. Kwanini asiingie Firmino/Sturidge/Origi ili Winaldium (sinauhakika na Spelling) ashuke sehemu ya Keita?
Kweli ilitakiwa Winja arudi middle ili foward kama Origi/Fim akae mbele.
Lkn ndio game ishapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…