BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Laumu Klopp.
Anaumia Keita unaingiza Henderson. Kwanini asiingie Firmino/Sturidge/Origi ili Winaldium (sinauhakika na Spelling) ashuke sehemu ya Keita?
Utakufa kwa wivu wee mzee ....
achana na kombe la watoto under 17 tena la olimpiki. Tunazungumzia Makombe Ya Wakubwa Kama Copa America, Kombe La Dunia. Kiufupi Mesi Nje Ya Barcelona Hawezi Kushindana Hata Na Rashford
Ni kweli mkuu..ila movement ya kipa kutoka position aliyokua ndo ilimlet down..by the time kiganja chake knafika ile angle,mpira ulkua umepita sekunde chake
Hlo goal still mi siwez kumlaum kipa, hyo ilikuwa ni imposible angle, magoli mawili ya mwanzo ni uzembe wa beki,
Kwa akili yako messi atoke barca aende wapi kwa mfano!!?....unatoka timu nyingine ndo unaenda barca!!
Hahah! hii nyuzi sikuiona mkuu na Cole Williams nimemuona page ya kwanza kabisa ila alishindwa kuileta nyumbani...Davet sijakuona huku.Alaumiwe nani magoli ya juzi?
Huo ni ukweli, yaani ukiwaangalia wachezaji wakati Messi anajiandaa kupiga ni kama vile walikua wanajiambia huu ukuta tunauweka basi tuu .... kipa naye alikua anahaha kabisa.Hahah! hii nyuzi sikuiona mkuu na Cole Williams nimemuona page ya kwanza kabisa ila alishindwa kuileta nyumbani...
Goli mbili za mwanzo wakulaumiwa ni mabeki maana walionekana kuzidiwa sana ujanja na majamaa ila goli la tatu sioni wa kumlaumu. Messi ni hatari kwenye ile mipira ya kutenge, kuna wataalamu wa mambo wanasema ni bora mfanye Madhambi ndani ya box apige penalty kuliko kufanya nje ya box apige free kick
Indeed walijua kabisa pale ni eneo hatari kwa Messi hivyo walitegemea labda miujiza ya soccer itokee ili akose....Huo ni ukweli, yaani ukiwaangalia wachezaji wakati Messi anajiandaa kupiga ni kama vile walikua wanajiambia huu ukuta tunauweka basi tuu .... kipa naye alikua anahaha kabisa.
wewe mpira umeujua toka lini? nasema mfumo wa Barca ndo maana hawezi hama hapo watamtimba miguu mpaka kimtoke.Acha ujinga , mmekuwa mkiongea hizi pumba zenu tangu wakina Henry , Deco , Ronaldinho , Xavi na Iniesta wapo .Watu walikuwa wanasema hawa viungo wakiondoka basi na Messi anaisha , swali ni je mbona bado yeye ndio anaibeba timu sasa ? Badala ya kupotea ? , kama hamjui mpira mkae kimya
Wanaenda wakiwa vijeba, yeye alienda kinda na muoga wa kuhama kama mzee wa Juve anavyofunguka.
Acha ujinga , mmekuwa mkiongea hizi pumba zenu tangu wakina Henry , Deco , Ronaldinho , Xavi na Iniesta wapo .Watu walikuwa wanasema hawa viungo wakiondoka basi na Messi anaisha , swali ni je mbona bado yeye ndio anaibeba timu sasa ? Badala ya kupotea ? , kama hamjui mpira mkae kimya
wewe mpira umeujua toka lini? nasema mfumo wa Barca ndo maana hawezi hama hapo watamtimba miguu mpaka kimtoke.
Nani mfangi Bora wa Argentina?Mesi hana kitu nje ya barcelona
Sizani kama kichwan mwako kuna ubongowewe mpira umeujua toka lini? nasema mfumo wa Barca ndo maana hawezi hama hapo watamtimba miguu mpaka kimtoke.
Ila cha ajabu zaidi kaifunga Liverpool...amepiga vitimu vyote ambavyo mashabiki wana midomo midomo kama Kasuku.Huko kwenye Makombe makubwa Tumwache Ronaldo ambaye ana Kombe la Europe lile.Messi abaki na kikombe chake cha watoto ila aendelee kupiga hao wenye midomo midomo.Ndio maana kuna Shetani na Malaika na chaguzi tu upende upande upi..achana na kombe la watoto under 17 tena la olimpiki. Tunazungumzia Makombe Ya Wakubwa Kama Copa America, Kombe La Dunia. Kiufupi Mesi Nje Ya Barcelona Hawezi Kushindana Hata Na Rashford
Cha ajabu zaidi ya vyote kapiga Liverpool mbili tena na vijitimu vyenye ngebe nyiingi na mashabiki wake uchwara.Makombe Makubwa tumwachie Ronaldo na wengine huyo Bwana aachiwe anachoweza kufanya.Ni kweli Messi hawei kushindana na Rashford..Rashdord ni fundi eti.Si unaona UEFA alichofanya...Messi anabebwa mno na Marefa na Barca saaana.Kidogo tu Messi Messi ...Hata Samatta kamzidi Messi sema tu yupo Genk...achana na kombe la watoto under 17 tena la olimpiki. Tunazungumzia Makombe Ya Wakubwa Kama Copa America, Kombe La Dunia. Kiufupi Mesi Nje Ya Barcelona Hawezi Kushindana Hata Na Rashford
Funzo kwa woteShughuli moja pekee na kwenye timu moja pekee[emoji23][emoji23]
Anavyote huyo, mpira bila magoli hakuna kitu. Sasa mbona Liverpool wana huzuni na wao wameongoza ball possession?mkuu mesii hana mpira wowote wa burudani mpira wa burudani alikua ronadinho tu kina mess na ronaldo matokeo zaidi