Kuna wakati magoli yanafungwa wewe kama shabiki watimu unakosa umlaumu nani.

Hadi nimecheka
Huyu messi huyu jamani.
 
umepaniki na andunje wako kunywa maji kwanza utulie
 
Pele kachechezea santos miaka18 ,misimu yake miwili ya mwisho kaenda Marekani,lakini ndiye mchezaji bora wa FIFA pamoja nakukaa club moja miaka 18.Messi ni mtu mwengine kabisa wa aina ya peke yake .
 
Hormones alizodungwa vipi. .mchezaji wa laboratory
 
Messi scam
 
yaani timu za EPL msimu huu zipo kwe ubora wa hali ya juu, barcelona haipo kwe ubora wake lkn still inawasumbua duh!
 
Angalia vizuri kumbukumbu zako,msimu uliopita alishinda nne moja kwa As Roma lakini akagongwa tatu bila mechi ya marudiano akatolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…