Kuna wakati ukimya wako ni bora zaidi kuliko kuongea!

Jr Simeo

Member
Joined
Feb 22, 2024
Posts
5
Reaction score
5
Muombe Mungu akuzidishie hekima ya kunyamaza kwa yale wanayokutendea, kwani ukiyazungumza yatakupeleka matatani kwakuwa kunawakati ukimya wako ni bora zaidi ya uzungumzaji wako katika kila jambo.

However you cannot stay silent at everything you face, Therefore you need to internalize yourself before any disclosure of anything else.🙏

Simeo Jr.
 
Hata maaandiko yanasema,Hata mpumbavu akinyamaza huonekana mwenye Hekima!
 
Back
Top Bottom