DOKEZO Kuna Walimu wasio na vigezo State University of Zanzibar kampasi ya Afya Mbweni

DOKEZO Kuna Walimu wasio na vigezo State University of Zanzibar kampasi ya Afya Mbweni

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Habari wakuu,

Tafadhali kuna suala la kufuatilia kuhusu uwepo wa Walimu wasio wataalamu kufundisha masomo wasioyafahamu.

Tunaomba mamlaka husika zisaidie kufichua haya.

Somo la Microbiology first year amepewa mtu hana ufasaha na somo hilo, wanafunzi hawana pa kusemea.
 
Kivipi hana ufasaha? Hana alama za ufaulu kutosha kuwa mkufunzi? Vyeti vyake umeviona? Wewe umejuaje? Wewe ni mwanataaluma, mfanyakazi wa kawaida ama mwanafunzi?
 
Kwaiyo kijana ume kuja kuni sema huku, jiandae na quiz za papo kwa papo hii week .na sup za kutosha
 
Bora kusoma open university sio huu usumbufu wa hivyo vyuo
 
Kwani ukitulia ukatoa taarifa ya kueleweka utapungukiwa nini?
 
Back
Top Bottom