A
Habari wakuu,
Tafadhali kuna suala la kufuatilia kuhusu uwepo wa Walimu wasio wataalamu kufundisha masomo wasioyafahamu.
Tunaomba mamlaka husika zisaidie kufichua haya.
Somo la Microbiology first year amepewa mtu hana ufasaha na somo hilo, wanafunzi hawana pa kusemea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora kusoma open university sio huu usumbufu wa hivyo vyuo
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa!Si mkasome vyuo vya kueleweka! Kama ajira yenyewe wanapeana kwa kutokana na Uzanzibari wao! unategemea nini?