Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,514
- 4,998
Mods nadhani sijavunja mashariti ila naquote tu, nsije nkafungiwa katika kipindi hiki muhimu cha kuchangia. Kuna bwana anachangia sana hasa katika jukwaa hili la uchaguzi 2010 lakini hajui siku wala tarehe ya uchaguzi. Hebu mwoneni, au kapitiwa?
Au wenzetu sisiemu watapiga kura siku moja kabla ya tarehe tunayoifahamu?
CCM victory on 10/30 is 99% guaranteed so catch us if you can! You gotta love us!......ha ha ha ha:hand:
Au wenzetu sisiemu watapiga kura siku moja kabla ya tarehe tunayoifahamu?