Kuna wanaokupa ushauri wa kukuharibia makusudi na wanaokupa ushauri wa kukusaidia, kupanga ni kuchagua

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,555
Reaction score
6,972
Kuna baadhi ya mambo yanayoendelea yanastaajabisha sana,yalipigiwa sana kelele huko kabla, yanakuharibia sio kidogo na kadri muda unavyozidi kwenda yanazidi kukuharibia.

Ushauri unapata kutoka sehemu mbalimbali, kuna wanaokupa kukusaidia na wanaokupa kukuharibia japo inaweza kuonekana kwa haraka wanakusaidia.

Jukumu la kuongoza watu wengi ni zito mno. Linahitaji akili kubwa kung'amua mambo mbalimbali.

Hizi Lakini, angalau, tusubiri kidogo, ngoja niendelee kuangalia, labda. Mwisho inakuwa 'too late' waswahili wanasema ukicheka na nyani utavuna mabua.

Kwa style nadhani mkono wetu mmoja unatosha.
 
Ahsante Masoud Kipanya, katuni ya leo inasadifu kilichoandikwa kwenye uzi huu jana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…