Kuna wanaoomba ndoa kati ya Wema Sepetu na Mbwana Samatta

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Habari za J'mosi
Huko insta nimekuta kuna wanaoomba itokee ndoa kati ya Madame na Golden boy wetu, sifahamu ukaribu iliopo kati ya wawili hawa, lakini mna maoni gani katika hili?
 
Wema asimletee mikosi champion boy.....yan acheze na kunguni zote tanzania amuache samatta aishi maisha yake ya amani..

Wema kwa sasa size yake ni HAMORAPA tu..maana samata haitaji kiki wala umaarufu ili afunge magoli
 
Mkuu unauwa huna huruma na madame?
 
Yaani huyo bibi aielewe na yule dogo..?
Yaan watu hawamtakii mema kabisa Samagoal na mnataka atiwe nuksi na yule bibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…