Kwa busu namaanisha yote, french kiss na mabusu mengine
Ni mazoea na mtazamo tuu wengine wanapenda kununuliwa nguo wengine kushikwa mkono wengine kupelekwa Beach nknkNilifuatwa na binti mmoja akilalamika kuwa amepata mchumba mzuri kwa kila jambo kasoro hawezi kabisa kumpa busu. Je, huu ni ugonjwa au ni nini? mimi binafsi sijawahi kusikia mwanaume asiyejua kupiga busu, hii ni mpya.....
Kwa busu namaanisha yote, french kiss na mabusu mengine. Huyu jamaa ana miaka 40 na binti 28yrs sidhani kama ni kukosa experience..
mtani mwanamke ukiweza kumridhisha basi we ni mshindi ..Nyakati zingine mabinti akili zao huwa zinashangaza na kustaajabisha.....yaani baada ya kuangalia sifa muhimu anazopaswa kuwa nazo mume wewe unaangalia kitu cha kipuuzi kama busu tu.....hivi ni vitu ambavyo wanandoa huwa wanaviongelea ndani kwani hakuna chuo cha mahaba kusema kuwa labda anatakiwa akapate kozi huko.....
Akiwa mahiri wa kupiga makisi utakuja na sredi kuwa hakufikishi kileleni.....
Akiwa mahiri kukufisha kileleni utakuja na sredi kuwa ana mchepuko......
Je mtani utachagua mwanaume yupi kati yule ambaye ni mahiri wa kupiga denda lakini utendaji kazi wa mtalimbo ni wa kusua sua au yule ambae....hajui lolote kuhusu denda lakini utendaji kazi wa kifanyio chake ni wa uhakika....hapo utamchagua.....(hela weka pembeni kwanza)mtani mwanamke ukiweza kumridhisha basi we ni mshindi ..
hapo nachagua mwenye mtalimbo unaopiga kazi ... denda kwanza linachofaJe mtani utachagua mwanaume yupi kati yule ambaye ni mahiri wa kupiga denda lakini utendaji kazi wa mtalimbo ni wa kusua sua au yule ambae....hajui lolote kuhusu denda lakini utendaji kazi wa kifanyio chake ni wa uhakika....hapo utamchagua.....(hela weka pembeni kwanza)
Nimegundua wanawake wengi humu JF hawana Siri hata umfanyeje haridhiki lazima akulete jamvini kuwa hajatosheka
Wengine tunazamia chumvini mpaka tunazungukia mtandaoni lakini kwa vile kazoeshwa Francais kiss lazima ataenda elezea k inaliwa siku hizi na hasa wachagga na wapemba
Hapo umeonyesha kuwa umekuwa kiakili....pata lunch hapo new africa hotel nitakuja kulipa mwenyewe....hapo nachagua mwenye mtalimbo unaopiga kazi ... denda kwanza linachofa