Kuna wanaume hawajui jinsi ya kumbusu mwanamke, je ni kilema au ni kukosa maarifa?

atakuwa anamlinganisha na mchepuko wake hahaa
 
Kuna wanaume hawajuj ee anabugia mdomo kama anakula burger
 
ila ni kweli mwingine ukimbusu anafumba macho kabisa au anakuonea aibu siku nzima wonders will never end i met that 1
 
Hahaha usinikumbushe kuna jamaa kamfumania mke wake kwenye shama la migombo, jamaa alijibanza mgombani ili kumjua anayemkula mkewe, ghafla kaja jamaa karibu na alijibanza mwenye mke, mda mfupi namkewe akawasili.
Walipokutana jamaa kamdaka mke wa mjuu juujuu na mabusu kibao, mara mke katandika khanga chini na jamaa bila kuchelewa akavua na kumfakamia mke wa mtu bila kujua mmewe ni mtazamaji wa mechi. Alipoingiza tu na kukatika mara 3 , jamaa alishindwa kuvumilia akapiga kelele uwiii nimshika mwizi wangu ghafla ngumi zkaanza huku mgoni yuko uchi.
Wakati wa kesi jamaa akasema yaani huyu mgoni anathubutu hadi ku- BUSU mke wangu wakati mimi sijawahi!!!!!!!!
 
hajawekwa ndani tayali kashakua muhariri wa gazeti la udaku.. sili ya nyie wawili kuileta nje inakuaje hapo!? kama yeye ni good kisser kwanini asimfundishe????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…