[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] naja fastaNjoo msata kilingen nikukosheee gunduuu
U been hiding brav..My man, been ait brav.
HakikaYeaaah wote tungekuwa maofisini michepuko isingekuwepo
SawaaHahahaha,.. Ntajitahidi kufumba macho nijufanyie hicho utakacho sawa?
Pole kwa kazi nzotoo usiku wa leoMorena Hotel
Hahahahahaa. Hapana kabisaHahahahha huuuu jaman Morena ya Dodoma
Nimetoa tu maoni yang ShemejiNaomba unipe sababu
Twende ZanzibarCoco au wapi twende?
Hana hata mmoja huyo, kaja kufurahisha genge tu.Kumbe ni beb zako? Nikajua marafiki tu. [emoji23][emoji23][emoji23]. Ila hakijaharibika kitu. Kizuri kula na wenzio
Zenj naunga mkono hoja. Kilingeni staki yasijekutukuta ya Samiratha bureeTwende Zanzibar
Kwanza Demiss kasema Msata panatutosha
Uko vzrHahaaa. Usijali Pacha nitakuwa nakukumbuka.
Ila pacha hii quote ya kipekee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sababu ni kama umechangia uzi. Hujaniquote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana hata mmoja huyo, kaja kufurahisha genge tu.
Aisee kumbe upo DodomaKaribu sanaaaa wifiiii mm nipo nimejaa teleee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shaur zakeUgomviii ujuee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sipendi magari kabisaaa.Kwanza unamiliki magari mangap?
Mbona unanitukana hvEeeeh. Sio kama hawa cockroaches wana midomo wambea wapashkuna na hela hawana. Kwanza Mungu mwanaume akishakua mmbea mmbea hampagi hela.