hahahahahahhaahaaiseee....
Umeona eheeeMwenzangu. Bora kuoga maji ya chumvi sio aibu za kuwekana instagram
Kwa uzi huu lazima niopoe nikachangamshe damu na moyoKabisaaa watu na madorali
Mimi sina pesaSio wewe jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sijawekeza kokote pesa zangu zaidi ya kwenye papuchi.Nyumbaaa
Aaah. Tunaweza tukakuamini wewe mama mganga ndo ukatuuzaUsije na mtu asijerekod kideo