Ila una adabuMimi sina pesa
Nakupenda demiss wanguWewe tena nakujua hujawahi nipenda kamwe kutwa kunipondaaa
sawa, ngoja nijitahidii....au si niache kucomment na mm tu labda! [emoji38]Ukiyapata ulete tuyatumie ndo nikuweke kwenye list
HapanaIla una adabu
Kwahiyo demiss hunipendi?Sitak hata upendo wako kutwa kuniponda ila nitakufurahisha tu
Umewaza nini dada, Inawezekana wazo lako ni sahihiNimecheka ujue kuna kitu nimewazaa
Wakat mwingine nitakucheki unitembeze DomAiseee mbn mm najulikana makao makuu ndo mwenyekit jf
Nahisi nimepatiaInawezekana kabisa Clkey
Hahaha hahahaha lolNakazia hata mimi
Hahahaaa magai na karanga kwenye aisee, umenikumbusha mbali sanaNilkuwa namhonga magai shemej yako wa nyumban enzi hizo tena machachu unaweka kwenye chupa ukifungua sasa kama HEINEKEN ya moto
HahahaWatakuja tu ila wewe itakuwa wa kikwetu kwetu
Tena kwa akili zake huyu atatuuza sio bureAaah. Tunaweza tukakuamini wewe mama mganga ndo ukatuuza